✨ Mfumo wa Kisasa wa Kuendesha Ofisi Yako

Endesha Ofisi Yako Kwa OfficeDrive Pro

Msimamizi Wako Mkuu wa Ofisi

Badilisha jinsi biashara yako inavyofanya kazi. Boresha mahusiano ya wateja, fuatilia mahudhurio ya wafanyakazi papo hapo, simamia miradi na uweke salama nyaraka zako kwa usalama wa hali ya juu.

Office Management

Kwanini Libora Zaidi Kujiunga na OfficeDrive Pro?

Chukua hatua leo uongeze ufanisi wa ofisi yako. Jiunge na zaidi ya makampuni na taasisi 10,000+ zinazotumia OfficeDrive Pro kufanikisha kazi kwa haraka na usalama.

Usimamizi wa Wateja

Orodha ya wateja, thamani za mikataba, na hatua za mauzo bila usumbufu.

Usimamizi wa Wafanyakazi

Fuatilia muda wa kuingia na kutoka kazini (Clock-In) na idara zao kwa urahisi.

Usimamizi wa Miradi (Kanban)

Kadi za miradi, tarehe za mwisho, na upangaji wa majukumu kwa usaidizi wa AI.

O-Drive Vault (Hifadhi ya Nyaraka)

Hifadhi iliyofungwa kwa usalama kwa mikataba, fomu za HR, na ripoti za kifedha.

Upo Tayari Kuongeza Ufanisi wa Ofisi Yako?

Sajili account yako kwa dakika 2 tu. Jiunge sasa anza kutumia huduma zetu bora.

Tengeneza Account Yako Sasa

10,000+

Ofisi Zinazotumia

99.9%

Muda wa Mtandao